Monday, October 21, 2013

TFF WASOGEZA KIFO CHA SIMBA

Posted By: azam fans - 9:21 PM

Share

& Comment

Mchezo wa ligi kuu ya vodacom wa mzunguko wa 11 kati ya AZam FC na Simba sc umesogezwa mbele kwa siku moja kupisha mchezo wa kufuzu kombe la dunia la wanawake wenye umri wa chini ya miaka 20 kati ya Tanzania na Msumbiji utakao chezwa hapo oktoba 26 mwaka huu.

Azam na Simba SC wata klwaana oktoba 28 mwaka huu badala ya oktoba 27, mchezo utakao chezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Michezo mingine miwili ya Azam FC imesogezwa mbele ambao ni dhidi ya Ruvu shooting utakaochezwa hapo november 2 na ule wa kufunga mzumguko wa kwanza dhidi ya Mbeya city utachezwa november 7 mwaka huu.

Azam sasa wanaongoza kwa point 20 wakiwa wamecheza michezo 10, wakifuatiwa na Mbeya city wenye point 20 wakitofautiana katika uwiano magoli ya kufunga na kufungwa.


MICHEZO ILIYOSALIA YA AZAM FC NI:

28/10/13
SIMBA SC Vs AZAM FC, uwanja wa Taifa

02/11/13
Azam Vs Ruvu shooting, Azam comp

07/11 /13
Azam FC Vs M beya, Azam comp

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.