Friday, June 19, 2015

U20 WAZIBA MIANYA YA WALIOKUWEPO STARS

Posted By: kj - 6:10 PM

Share

& Comment

Wakati mazoezi ya timu ya soka ya Azam FC yakiwa yameanza huku timu ikiwakosa nyota wake wengi kutokana na kuwa na majukumu kwenye timu za taifa kikosi cha under 20 kimenogesha mazoezi hayo.

Vijana hao wa kikosi cha vijana wamefanya mazoezi na kaka zao ya kujiandaa na msimu mpya na mashindano ya Kagame Cup. benchi jipya la Azam FC limefurahia vipaji ilivyovikuta.

Azam FC chini ya Stewart Hall imekuwa ikijifua kujiandaa na mashindano ya Kagame Cup yatakayofanyika nchini mwezi ujao

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.