Tuesday, July 19, 2011

Azam academy yachapwa na Ruvu shooting

Posted By: azam fans - 8:02 PM

Share

& Comment

Kikosi cha pili cha Ruvu shooting imeonyesha uimara wake hii leo baada ya kufanikiwa kutwa ubingwa wa Rollingstone 2011.

Katika mchezo wa fainali uliochezwa hii leo Ruvu shooting wameichapa timu ya Azam Academy goli 4-0 katika mchezo uliochezwa kwa dakika 120, baada ya dakika 90 kuisha bila kufungana.

Azam Academy walijikuta wakimaliza mchezo wakiwa tisa baada ya wachezaji wake wawili kulambwa kadi nyekundi. Vijana wa Azam Academy wamejitahidi kufika kwenye hatua hiyo kwa kuwa ndio kwanza kikosi kimeundwa tena upya huku wengi wao wakitokana na michuano ya Copa coca cola tofauti na timu nyingine zilizo kuwa pamoja kwa mda mrefu.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.