Thursday, February 2, 2012

Azam Academy kukipiga na Shein

Posted By: kj - 3:43 PM

Share

& Comment


Timu ya Shein Rangers ya Sinza jijini Dar es salaam inataraji kucheza mchezo wa kirafiki na Azam Academy siku ya jumatano february mosi mwaka huu.

Mchezo huo utakuwa wa pili kwa kikosi cha Azam Academy katika mwaka huu wa 2012 mchezo wa kwanza walicheza na Fuoni toka visiwani Zanzibar.

Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi saa kumi alasiri. Leo ni Azam FC dhidi ya Moro united katika muendelezo wa ligi kuu ya Vodacom.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.