John Bocco akishangilia goli lake la kwanza, akiambatana na wachezaji wenzake

Viti vilivyo vunjwa leo katika mchezo kati ya Yanga na Azam

Haruna Niyonzima alipo limwa kadi nyekundu, Nsajigwa akimwambia jambo mwamuzi na askari

Mashabiki wa yanga wakiwa chini ya ulinzi

Wachezaji wa yanga wakimzingira mwamuzi wa mchezo




Wafanyakazi wa Huduma ya Kwanza wakimpelea chumba cha huduma ya kwanza shabiki wa yanga
0 Maoni:
Post a Comment