Tuesday, November 6, 2012

PELE NDANI YA AZAM

Posted By: azam fans - 10:52 AM

Share

& Comment

Meneja wa Azm FC Patrick Kahemele akimkabizi jezi ya Azm King Pele
Mchezaji wa kimataifa wa zamani wa Ghana Abeid Pele aanataraji kuonekana katika kipindi cha Azam TV show kinacho rushwa katika ituo cha Channel Ten leo saa 3 kamili usiku.

Abeid mzazi wa nyota wa Olypiq Marcel ya Ufarannsa Ayew Abeid yuko nchini kwaq ziara maalum ya kuangal;ia program mbalimbali za soka nchini.

Nyota huyo wazamani aliye patizwa jina la nyota wa Brazili Pele kutokana na soka lake anamiliki academy nchini Ghana ambayo inazalisha nyota mbalimbali wa Ghana ataonekana katika kipindi hicho kinacho rusha taarifa mbalimbali za Azam FC, inayomiliki9 academy ya Azam Academy iliyopo Chamanzi.

"King Abedi Pele jana alitua kwenye kituo cha soka cha Azam FC akiwa ameambatana na Wajumbe wenzake wa FIFA Ashford Mamelody na Emanuel ambapo wote walisema Wamezunguka Afrika nzima lakini hawajawahi kuona kituo kilichojitosheleza kama cha Azam FC.," ilieleza taarifa ya Azam FC.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.