Azam walanza na sare katika michuano ya ngao ya jamii ya DRC na kuishia kwenye kutwaa ubingwa hapo mwaka jana kabla ya kuanza na sare katika michuano ya kagame na kufanikiwa kutinga fainali.
Vilevile katika michuano ya mapinduzi iliyopita azam fc walianza kwa sare na kufanikiwa kutwa ubingwa ambao wameuwanza kuutetea kwa sare.
Katika mchezo huo wa jana Azam walipoteza nafasi mbili za kufunga wakati coastal wakipoteza tatu.
Aam fc ni ya pili katika kundi A akiwa nyuma ya Miembeni mwenye point 3 na magoli 4 ya kufunga akifungwa gnli 1, akiwa juu ya Coartal union mwenye point 1 kama Azam wakati Mtibwa akiburuza mkia akiwa na hana point goli 4 za kufungwa na kufunga goli 1
0 Maoni:
Post a Comment