Mchezo huo utakaochezwa katika uwanja wa taifa uta tanguliwa na burudani toka kwa wasanii mbalimbali wa bongo fleya wakiongozwa na wanatemeke Juma Nature na Inspector Haroun.
Burudani hizo zitaanza saa 6 mchana huku mchezo husika ukianza saa kumi alasiri.
Viingilio vya mpambano huo ni:
Viti vya Blue na green ni tsh 2000
Viti vya orange ni tsh 5000
VIP C na B ni tsh 10000
VIP A ni tsh 20000
Azam fc wanaendelea kujianda kwa mchezo huo katika uwanja wake wa azam complex uliopo Chamanzi.
NI WAKATI WETU WA KUENDA KUWASHUHUDIA MENO, UMONY NA SURE BOY
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO
www.aboodmsuni21.blogspot.com
[+255 657 184 421]
0 Maoni:
Post a Comment