Wachezaji wa Azam FC wakiwa mazezini kwenye fukwe za Coco, Dar es Salaam asubuhi ya leo kujiandaa na msimu mpya. Kutoka kulia Kipre Tchetche, Seif Abdallah na Kipre Balou.
Kutoka kulia Gaudence Mwaikimba, Malika Ndeule, Jackson Wandwi, Joackins Atudo na David Mwantika
Kocha Stewart Hall akiwaongoza vijana kwa mifano ya vitendo
Kipre Tchetche
Stewart Hall...
Kulia Said Morad 'Mweda' na Kipre Balou kushoto
Stewart Hall kushoto akimpigia mpira Ibrahim Mwaipopo
Jabir Aziz Stima mbele ya Luckson Kakolaki
Kipre Tchetche
Mida mibovu; Makocha wa Azam, Stewart na Msaidizi wake, Kali Ongala
Gaudence Mwaikimba...
Mchangani...
Maandalizi ya msimu mpya
Makocha Wasaidizi, Kali Ongala na Ibrahim Shikanda kushoto
0 Maoni:
Post a Comment