Thursday, November 7, 2013

HALL SI KOCHA TENA WA AZAM FC

Posted By: azam fans - 9:30 PM

Share

& Comment

Mara baada ya mchezo kati ya Mbeya city na Azam FC kocha mkuu wa Azam FC Stewart Hall alitangaza kuacha kuendelea kuifundisha Azam FC, akiwa ametoka kuweka rikodi ya klabu yaq kumaliza mzunguko wa kwanza bila ya kupoteza mchezo wowote wa ligi kuu ya vodacom.

Halll ambaye amekuwa Azam FC tangu mwaka 2010, na kuiwezesha Azam FC kumaliza ligi kuu ya msimu wa 2011/12 na 2012/13 akiwa mshindi wa pili huku akiwezesha Azam kutwa kombe la MApinduzi mara mbili mfululizo, alisema kwa vyombo vya habari kuwa amepata timu nyingie na kuamua kuipa mkono wa kwaheri Azam FC baada ya mchezo huo uliomalizika kwa sare ya goli 3-3.

Taarifa iliyotolewa na Azam FC kufuatia kujiuzulu kwa Hall inaeleza:
"Azam FC and Coach Stewart John Hall have decided by mutual agreement to terminate the existing contract with immediate effect. The partnership has been mutually rewarding to both parties and has been the continual and consistent growth of Azam FC into one of the most progressive and visionary football clubs in Africa. The timing of the decision is critical and coming at the end of round 1 and will allow the coach the opportunity to take up a new challenge and the club to replace him in an appropriate manner.

The club would like to place on record its gratitude to the coach for his hard work and professionalism. He has proved himself over his two spells to be a coach of outstanding technical and tactical acumen. He will continue to be a friend and supporter of Azam FC and will always be most welcome at the football club."

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.