Kocha mkuu wa kikosi hicho, Stewart Hall anatarajia kuchagua wachezaji 20 watakaocheza michuano hiyo kulingana na mujibu wa kanuni za mashindano hayo ya Kagame , lakini amesisitiza amejiandaa vizuri na kikosi kipo sawa kabisa.
Kambi hiyo itakuwa kwenye hosteli zao zilizopo Chamazi, Mbagala.
SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment