
Kiungo mshambuliaji aliyekuwa na matatizo ua kimkataba na Simba SC Ramadhani Singano "Messi" amesaini mkataba wa kuitumikia Azam FC hii leo ikiwa ni baada ya mkataba wake kuvunja juzi.
Messi amesaini mkaba wa miaka mwili ya kuitumikia Azam FC, baada ya juzi kamati ya sheria, maadili na hadhi ya wachezaji kusitisha mkataba wake na Simba SC na kumfanya Messi awe mchezaji huru.
Baada ya kusaini mkataba huo leo Messi atajiunga na wenzakae wakati wowote kuanzia sasa


SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment