Wednesday, February 24, 2016

AZAM WAPOTEZA POINTI KWA PRISONS

Posted By: kj - 6:53 PM

Share

& Comment


Maeneo yaliyokwama yanga na Azam FC wamekwama na kupeleka kulingana pointi ikiwa noi baada ya kuambulia sare ya bila kufungana na Tanzania prisons hii leo.

Yanga SC baada ya kufungwa na Coastal nuion walitoka sare ya 2-2 na Tanzania Prisons, ambapo Azam FC wamepoteza mchezo na Coastal union na wametoka sare na Prisons hii leo.

Katika mchezo wa leo ambao Tanzania Prisons hawakutaka masihara katika lango lao, azam FC waliuwanza mchezo taratibu huku wakitawala mchezo wakati Tanzania Prisons wakitumia mashambulizi ya kushtukiza.

Katika kipindi cha kwanza Azam FC walipoteza nafasi moja ya wazi kupitia kwa John Bocco baada ya shuti lake kumgonga kipa wa Prisons na kupeleka kipindi cha kwanza kumalizika kwa sare ya bila kufungana.

Katika kipindi cha pili Tanzania Prisons walianza kwa kasi na kutengeneza nafasi moja ambayo walishindwa kuitumia, kabla ya Azam FC kurejesha utawala wa mchezo kwao na mchezo ukamalizika kwa sare ya bila kufungana.

Kwa matokeo hayo yanaifanya Azam FC kufikisha pointi 46 sawa na yanga sc na yanga wanaendelea kukaaa kileleni mwa ligi kwa utofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.


MSIMAO WA LIGI KUU YA VODACOM BAADA YA MCHEZO WA LEO

RnTimuPWDLFAGdPts
1YANGA1914414493546
2Azam FC19144134112346
3SIMBA SC20143335132245
4MTIBWA SUGAR199642113833
5MWADUI FC209562117432
6T. PRISONS208841918132
7STAND UNITED199371916330
8NDANDA FC205871920-123
9TOTO AFRICANS205781928-922
10MBEYA CITY205692026-621
11MAJIMAJI FC2054111232-2019
12MGAMBO SHOOTING2046101625-918
13KAGERA SUGAR2045111123-1217
14Coastal Union2037101422-816
15AFRICAN SPORT204412721-1416
16JKT RUVU2036111931-1215

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.