Sunday, November 20, 2011
Academy kucheza na Moro kesho
Posted By: kj - 9:41 PMKikosi cha Azam Academy kesho saa 10 jioni itakuwa kibaruani kuwa vaa vijana wa Moro united katika hatua ya robo fainali ya Uhai Cup.
Azam Academy imetinga hatua hiyo ya robo fainali baada ya kuwavua ubingwa Ruvu Shooting, katika mchezo wa mwisho wa makundi uliopigwa jana.
Nusu fainali ya mashindano hayo itachezwa november 23 huku fainali yake ikipigwa november 25.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment