Tuesday, January 3, 2012
Kikao jan 12 hakipo
Posted By: kj - 6:28 PMMwaka 2012 umeanza, na mwaka 2011 umekwisha, mwaka ambao tulianza mchakato wa kuwa na klabu ya mashabiki wa Azam ambapo kwa mara ya kwanza walikutana katika ukumbi wa Sansiro Sinza katikati ya mwaka jana.
Baada ya mkutano huo viongozi waliopo madarakani kwa mda walijaribu kuita kikao kingine kabla ya ligi kuu ya msimu 2010/11 kuanza lakini kilishindwa kufanyika, kwa sababu mbalimbali.
Na ilipofika november 24 mwaka jana, kulitolewa tangazo la uwenda kukakuwepo mkutano january 12 mwaka huu, kwa masikitiko makubwa kikao hicho hakitokuwepo, kutokana na sababu mbalimbali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment