Pazi atarejea nchini january ishirini na sita kama atashindwa majaribio yake ya siku kumi nchimi humo.
Mshambuliaji huyo wazamani wa mtibwa sugar na Africa lyon ameshapata kucheza nchini Ujerumani kabla ya kutua Azam akitokea African lyon mwanzoni mwa msimu wa 2011/12 atakuwa mchezaji wapili toka azam fc kwenda kufanya majaribio nchini Afrika kusini ikiwa ametanguliwa na John Bocco ambaye alifuzu majaribio yake ndani ya Super sport lakini wakashindwa kufikia maelewano kati ya pande zote.
0 Maoni:
Post a Comment