Thursday, January 24, 2013

BOCCO NA KIPRE KUWAKOSA KAGERA

Posted By: azam fans - 9:00 PM

Share

& Comment

Mfungaji bora wakati wote katika historia ya klabu ya Azam FC John Raphael Bocco na mshambuliaji toka Ivory coast Kipre Tchetche wanatarai kukosa mchezo wa awa5i wa mzunguko wa pili wa ligi kuu ya vodacom.

Azam fc watacheza na Kagera sugar katika mchezo wa awali wa mzunguko wa pili wa ligi kuu ya vodacom, mchezo utakao chezwa katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi siku ya jumamosi(january 26).

Kuelekea mchezo huo kikosi kamili cha azam kipo fiti ukiondoa Bocco na Tchetche walio majeruhi.
--
MSUNI COMPUTER SOLUTION NDIO SULUHISHO LA TATIZO YA COMPUTER YAKO [+255 657 184 421]

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.