Thursday, April 18, 2013

AZAM NA WA MOROCO 5000

Posted By: Unknown - 9:51 AM

Share

& Comment

Mchezo wa awali wa raundi ya pili ya kombe la shirikisho kati ya azam fc na AS FAR Rabat ya Moroco utakaochezwa jumamosi ya april 20 katika uwanja wataifa jijini Dar es salaam kiingilio cha chini ni tsh 5000.

Tsh 5000 ni kwa viti vya blue na green wakati vya orange vinatozwa kwa Tsh 10000, VIP C ikiwa Tsh 15000 wakati VIP B ni Tsh 20000 na VIP A ni Tsh 30000.

Kikosi cha wa Moroco hao kimewasili nchini jana.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.