Saturday, April 6, 2013

MAKUTANO LEO NI TAIFA, UMONYI HUENDA AKAONEKANA TENA

Posted By: kj - 9:07 AM

Share

& Comment

Azam fc leo saa 10 na nusu alasiri watakuwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuwakaribisha Barack YC mchezo wa marejeano wa kombe la shirikisho hatua ya kwanza.

Azam fc katika mchezo wa leo watawatumia wachezaji Salum Aboubakary 'Sure Boy' na Brian Umonyi waliokasa mchezo wa awali uliocheza mjini Monrivo na kushuhudia azam wakiibuka na ushindi wa goli 2-1.

Azam ec leo wanahitaji sare ya aina yoyote ili wavuke hatua hii ya kwanza na katia hatua ya pili huenda wakakuta na kat4 ya ASFAR ya Moroco ama Al nasri ya Libya ambapo katika mchezo wa awali waliochezwa Moroco ASFAR walishinda kwa goli 1-0.

Kocha wa azam fc Stewart Hall amesema leo timu yake itacheza soka la kuvutia ikiambatana na ushindi mnono, huku akiongeza kuwa Brian Umonyi amaweza akawepo katika kikosi kitakacho shuka uwanjani hapo leo.

Kwa namna ninavyomfahamu Hall na wachezaji wake kikosi cha leo kinaweza kikaanza hivi: MWADINI ALLY, HIMID MAO, WAZIRI SALUM, JOACKINS ATUDO, DAVID MWANTIKE, MICHAEL BOLOU, KIPRE TCHETCHE, SALUM ABOUBAKARY, JOHN BOCCO, HUMPHREY MIENO, KHAMIS MCHA/BRIAN UMONY


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.