Azam fc wametoka Rabat na treni na wanataraji kutoka Casablanca na ndege ya shirika la Emirates ambapo watakuwa na kituo Dubai kwa ajili ya kuunganisha ndege. Zoezi hilo litafanyika kesho, hivyo kupelekea kulala Dubaii usiku wa leo. na wanataraji kutua Tanzania hapo kesho, ambapo watawasili jioni.
Katika hatua nyingine tunaarifiwa toka Rabat, kuwa hali ya uzuni ili tawala kwa wachezaji wa azam fc hususani kwa beki David Mwantika aliyepewa kadi nyekundu, na aliyesababisha penati kwa AS FAR katika harakati ya kuokoa na AS FAR Rabat kupata goli la kusawazisha.
Mchezaji mwingine ni John Raphael Bocco aliyekosa penati katika dakika ya 82 akiwa ndie aliyeipatia goli la uongozi Azam fc katika dakika ya 6 kabla ya Rabat kusawazisha katika dakika ya 12 na kupata goli la ushiodi katika dakhka ya 42.
0 Maoni:
Post a Comment