Azam FC imetua salama leo ikitokea Morocco ambako tulitolewa na AS FAR kwa 1-2, sote tumefika salama.
Tunamshukuru mumgu kwa kutuwezesha kusafiri na kurudi salama. Sasa tunaelekeza Nguvu kwenye Ligi kuu na maandalizi ya nwakani.
Tunawashukuru wote mliotuunga mkono
0 Maoni:
Post a Comment