![]() |
Ibrahim Mwaipopo akimdhibiti mchezaji wa CISM leo jioni |
Mabingwa wa kombe la Mapinduzi Azam FC jioni ya leo wametoa sare na timu ya kombaini ya jeshi, CISM, mchezo uliochezwa katika uwanja wa nyasi asilia unaopatikana ndani ya Azam Complex.
Azam FC na CISM wametoka sare ya goli 1-1, wafungaji wakiwa ni Hussein Nyamandulu upande wa CISM na Tchetche Kipre kwa Azam FC
CISM inaundwa na wachezaji wa timu za Jeshi ambazo ni JKT Ruvu, Mgambo, Ruvu Shooting,Oljoro
0 Maoni:
Post a Comment