Monday, July 22, 2013

Azam kupiga 3 ugenini VPL

Posted By: Unknown - 5:41 PM

Share

& Comment

Mabingwa wa kombe la mapinduzi Azam FC wanataraji kuanza safari ya kusaka ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara ya kwanza agosti 21 kwa kuanzia katika mashamba ya miwa ya Turiani mkoani Morogoro kwa kuwakabili wakata miwa Mtibwa Sugar.

Azam FC kabla ya kuenda Turiani watakuwa na kibarua cha kusaka ngao ya jamii waliyoshindwa kuipata msimu uliopita kwa kucheza na mabingwa wa Tanzania Bara Yanga katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salam agosti 14.

Azam FC katika safari yake ndefu ya kusaka ubingwa wa Tanzania Bara watacheza michezo mitatu ya mwanzo ugenini wakianza katika dimba la Manungu , kabla ya kusafiri kwenda Tabora kuwakabili Rhino Ranger hapo agosti 28 na kuhitimisha katika uwanja wa Kaitaba kwa kuwakabili Kagera Sugar.

Ratiba ya mzunguko wa kwanza kwa michezo ya Azam FC nikama ifuatavyo:
24/08/13  Mtibwa Sugar Vs Azam FC Manungu

28/08/13  Rhino Ranger Vs AZam FC A.H Mwinyi Tabora

14/09/13  Kagera Sugar Vs Azam FC Kaitaba

18/09/13 Azam Vs Ashanti  Azam Comp

22/09/13  Azam Vs Yanga U/Taifa

29/9/13  Prinsons Vs Azam Sokoine, Mbeya

05/10 Coastal Union Vs Azam Mkwakwani, Tanga

9/10 Azam Vs Mgambo shooting Azam Compl

13/10 Azam vs JKT ruvu, Azam Comp

19/10 JKT Oljoro Vs Azam, Sh.A Kaluta Arusha

30/10 Azam Vs Ruvu shooting, Azam comp

3/11 Azam FC Vs M beya, Azam comp

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.