Baada ya mafahari wa biashara ya usafirishaji katika bahari ya Hindi wakiwa wamejiimarasha katika kuunganisha visiwa vya Pemba, Unguja na jiji la Dar es salaam, Said Salim Bakharesa kukamilisha ukarabati wa bandari ya Zanzibar sasa wamenunua timu ya Banari FC.
Kampuni hiyo inayomiliki timu ya Azam FC inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara, wameamua kujikita pia katika soka la Zanzibar ambalo limetoa wachezaji wengi katika timu ya Azam FC.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotufukia mtandao huu na kudhibitishwa na watu wa karibu, zinasema kuwa Kampuni hiyo ya Said Salim Bakharesa wamenunua timu hiyo ya Bandari ambayo teyari ilikuwa imeshauza nafasi yake ya ushiriki wa ligi kuu ya Zanzibar kwa kuwauzia Malindi, na hivyo Azam mpya kuanzia katika daraja la kwanza.
"Azam wamenunua timu ya Bandari na Malindi wameuziwa nafasi ya Bandari, kwa hiyo nafasi ya Bandari kucheza ligi Kuu itachukuliwa na Malindi ambao walikuwa wameteremka daraja, na Azam wataanzia daraja la Malindi, hivyo Azam wameuziwa timu ambayo tayari imeuza daraja." ili eleza moja ya chanzo chetu.

0 Maoni:
Post a Comment