Friday, July 5, 2013

Tcheche akipokea tuzo yake

Posted By: azam fans - 8:15 AM

Share

& Comment

Mshambuliaji wa Azam FC toka Ivory Coast Kipre Herman Tcheche akipokea tuzo yake ya ufungaji bora wa ligi kuu ya vodacom 2012/13 ambapo aliibuka mfungaji bora kwa kufunga magoli 17.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.