Thursday, August 1, 2013

AZAM ACADEMI WAZIDI KUTAMBA KENYA

Posted By: Unknown - 11:34 PM

Share

& Comment

Mabingwa wa kombe la uhai Azam Academy wameendeleza matokeo mazuri katika michuano ya wiki ya kilimo katika wilaya ya Kisimu nchini Kenya baada ya leo kutoka sare ya goli 1-1 na Chemelil Sugae.

Wana fainali hao wa kombe la rollingstone 'Azam Academy' wamepata sare hiyo wakitokea kwenye ushindi wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza uliochezwa hapo jana.

Goli la Azam Academy hii leo dhidi ya Chemeli Sugar inayoshika nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi kuu ya Kenya, (KPL) lilifungwa na Ahmed Abbas baada ya kuunganisha krosi safi ya Mgaya Abdul

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.