Na Azam FC
Joseph
Marius Omog, Kocha wa AC Leopards ya Congo Brazavile ambaye ameipa
ubingwa mfululizo timu ya AC Leopards pamoja na ubingwa wa CAF
Confederations mwaka jana, Mwaka huu aliiongoza tena Leopards kutwaa
Congo Cup, Ubingwa wa Congo na kucheza CAF Champions League group stage
atatua kesho asubuhi saa tatu kamili na KQ toka Cameroon kuja
kuifundisha Azam FC
Wate mnakaribishwa Airport Kumpokea
Friday, November 29, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
a
SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment