Mabingwa watetezi wa kombe la Uhai Azam academy leo wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu baada ya kuwalaza goli 2-1 timu ya vijana ya Tanzania Prisons mchezo uliochezwa katika uwanja wa Azam complex.
Azam academy katika mchezo wa nusu fainali utakaochezwa siku ya Alhamisi kwenye uwanja wa Azam complexs na kuonyeshwa moja kwa moja na azam tv utakuwa dhidi ya coastal union.
Coastal union ambao waliwafunga AZam Academy katika mchezo wa makundi goli 2-1, wametimga hatua hiyo baada ya kuwalaza goli 1-0 timu ya JKTOljoro, mchezo uliochezwa mapema ya leo.
Tuesday, November 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment