Katika mchezo huo Azam FC walianza kuandika goli la kwanza kupitia kwa mshambuliaji toka Uganda Brian Umonyi katika dakika ya 12 na kuipeleka Azam FC mapumziko wakiwa mbele kwa goli 1-0.
Katika kipindi cha kwanza chipukizi Joseph KImwaga alifanyiwa madhambi na kupelekea kutoendelea na mchezo.
Dakika 3 mbele mshambuliaji chipukizi toka Azam Academy Kelvin Friday aliiandikia Azam FC goli la 3 na likiwa goli lake la kwanza katika kikosi cha Azam FC.
Kalamu ya magoli iliitimishwa na kiungo Jabir Azizi Stima katika dakika ya 83 na kuipelekea Azam FC kumaliza mchezo wakiwa na jumla ya goli 4-0, na kuendelea kuiweka kileleni Azam FC.
.
SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment