Saturday, July 11, 2015

AZAM WAICHAPA GOLI 1 AFRICAN SPORT

Posted By: kj - 10:15 PM

Share

& Comment

Azam fc leo wamewafunga goli 1-0 African sport ya Tanga katika mchezo wa kirafiki uliochezwa katika uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga.

Katika mchezo huo wa kirafiki goli la Azam FC limefungwa na John Bocco kaatika kipindi cha pili cha mchezo.

Kesho Azam FC itacheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya Coastal union katika uwanja wa CCM Mkwakwani

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.