Azam FC walicheza na Coastal union leo katika uwanja wa CCM Mkwakwani ukiwa mchezo wa kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagaem.
Katika mchezo huo wa kirafiki, Ame Ally aliyesajiliwa akitokea Mtibwa Sugar alianzia benchi na alipoingia akaifungia Azam FC goli pekee katika mchezo huo na Azam FC kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
Azam FC wanataraji kurejea jijini Dar es salaam hii leo baada ya ziara ya siku 3 katika mji wa Tanga ambapo wamecheza micezo miwili ya kirafiki na kila mchezo kuibuka na ushindi wa goli 1-0.
SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment