Sunday, January 8, 2012
Azam na Simba kesho
Posted By: kj - 5:40 PMBaada ya Azam FC kumchapa Doto 'Yanga' goli 3 bila sasa kumkabili Kulwa 'Simba' katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la mapinduzi, itakayo chezwa january 9 siku ya jumatatu.
Azam FC wazee wa gonga, ama wazee wa kusafisha timu pinzani watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya simba ambapo mara ya mwisho kukutana ilikuwa katika uwanja wa Taifa ambapo mpira ulimalizika kwa sare ya bila kufungana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment