Azam jana usiku walitoka sare ya bila kufungana na mtibwa sugar na kufanikiwa kuongoza kundi B ambapo ana kutana na mshindi wa pili wa kundi A ambaye ni simba sc.
Katika mchezo huo wa nusu fainali huenda azam fc ikakosa huduma za makipa Aish Salum na Mwadini Ally pamoja na kiungo Salum Abubakary wanaotarajiwa kusafiri na timu ya taifa hapo kesho.
0 Maoni:
Post a Comment