Friday, April 12, 2013

AGGREY NA WENZAKE WAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA SIMBA SC

Posted By: kj - 8:04 AM

Share

& Comment

Wachezaji wa nne wa azam fc waliokuwa wamesimamishwa na uongozi wa klabu hiyo jana walijiunga na wenzao katika kambi ya timu hiyo inayojiandaa na mchezo dhidi ya simba sc utakaochezwa siku ya jumapili katika uwanja wa Taifa.

Wachezaji hao wanne jana walionekana katika uwanja wa azam complex wakiwa jukwaani wakivalia uzi wa azam fc wakitazama mchezo kati ya timu yao na afrikan lyon.

Wachezaja hao ni Aggrey Morice, Erasto Nyoni, Said Morid, Deo Munish, wamerejeshwa kundini baada ya TAKUKURU kuwasafisha na tuhuma walizo kuwa nazo.


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.