Mabingwa wa kombe la mapinduzi Azam FC leo wamepata sare ya 4 katika michezo ya ligi kuu ya vodacom na kufikisha point 10 wakiwa katika nafsi ya 3 katika msimamo waligi kuu ya vodacom.
Azam FC leo wametoa sare ya goli 1-1 na Tanzania Prinsons, mchezo uliochezwa katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Kaitika mchezo huo ambao kwa mara nuyingine kocha Stewart Hall alimuanzisha chipukizi Faridi Mussa, wenyeji Prinsons ndio walikuwa wa mwanzo kuandika goli la kuongoza kupitia kwa Patric Michael katika dakika ya 36.
Katika kipndi cha kwanza safu ya shambuliaji ya Azam FC iliyokuwa inaongozwa na Gaudence Mwaikimba haikuonyesha makali na kupelekea wapinzani Prisons kulisakama mara kwa mara lango la Azam FC huku Azam FC wakipeleka mashambulizi machache langoni mwa Prinsons.
Katika kipindi cha pili Azam FC wa;ianza kwa mabadiliko ambapo Mwaikimba alimpisha Kipre Herman Tcheche.
Mabadiliko hayo yaliongeza kasi ya mashambulizi ya Azam FC, katika dakika ya 49 walipata adhabu ndogo iliyopigwa na Kipre Herman Tcheche na mpira kutinga moja kwa moja langoni mwa Prinsons na Azam FC kuandika goli la kusawazisha.
Azam FC waliendelea kupeleka mashambulizi ambapo ulipekea walinzi wa Prinsons kujikuta katika wakati mgumu wakuondoa hatari za Azam FC.
Prisonsns nao hawakuwa nyuma katika kipindi cha pili kwani nao walipeleka mashambulizi ambapo kusingekuwa umakini wa kipa chipukizi wa Azam FC Prinsons wangetoka na ushindi hii leo.
Kwa sre hiyo ya goli 1-1 Azam FC imerejea katika nafasi ya 3 wakiwa nyuma kwa pointi 4 toka kwa vinara Simba SC (Tazama msimamo wa ligi)/
Azam FC mchezo ujao watacheza dhidi ya Coastal union katika uwanja wa Mkwakwani jijini TAngav siku ya jumamosi ya oktobar 5.
Azam FC leo: Aishi Manula, Erasto Nyoni, Waziri Salum, David Mwantika, Said Morad, Kipre Bolue, Jabir Azizi/Brian Umonyi, Humphrey MIeno, Gaudence Mwaikimba/Kipre Tcheche, John Bocco, Faridi Mussa Malik/Abdallah Seif Karinhe

0 Maoni:
Post a Comment