Naomba mniwie radhi kwa kushindwa kutoa taarifa ya kuhusu mahali na tarehe ya mkutano kama nilivyo ahidi hapo agosti 1. Niliahidi agosti 4 ningetangaza tarehe ya kukutana mashabiki wa Azam FC.
Tarehe iliyopendekezwa ni agosti 13 kilicho cherewesha ni mahali na saa ya kukutana kushindwa kuafikiwa na viongozi wa klabu hii ya mashabiki. Mpaka sasa hamna taarifa maalum zaidi ya kutaka nyie mashabiki mpendekeze tena.
Saturday, August 6, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment