Wednesday, December 28, 2016

ZERBEN HERNANDEZ NA BENCHI ZIMA LA AZAM LA SIMAMISHWA

Posted By: ABOOD MSUNI - 5:21 PM

Share

& Comment


Uongozi wa Azam FC umemsimamisha benchi nzima la ufundi linalo ongozwa na kocha mkuu Zebern Hernandez baada ya kuwaka na matokeo ya kusuasua katika michezo ya ligi kuu ya vodacom.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotangazwa katika kituo cha Azam TV zinaeleza kuwa uongozi umefika uwamuzi wa kusimamisha benchi zima la ufundi, na wakati wowote ule watatangaza kocha atakae chukuwa timu kwa muda.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.