Mimi

Chama Langu ni Azam ni moja ya blog zilizo chini ya Aboodmsuni Network inayo miliki pia blog za Sporst In Bongo, Tembezi za Msuni na Aboodmsuni Network

Chama langu ni Azam hapo awali ilikuwa inatambulika kwa jina la Azam Fans Club, ambapo ilianza kuwa hewani mnamo juni 14 mwaka 2011 na kubadilishwa jina na kuitwa CHAMA LANGU NI AZAM mnamo februari 23 mwaka 2014.


N.B: Uhusiano wa mmiliki wa Aboodmsuni Network, Abdallah H.I Sulayman 'Msuni' na Azam FC ni kama wamashabiki wangine wa Azam FC hivyo basi hii blog aina uhusiano wowote na uongozi wa Azam FC na huenda hawatambui uwepo wake.

1 Maoni:

  1. kwa kutwaa mapinduzi wamenikosha

    ReplyDelete

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.