Tuesday, December 6, 2011

Azam waendelea na mazoezi teyari kwa duru la pili

Posted By: kj - 9:12 PM

Share

& Comment


Vijana wa kazi wa Azam FC wanaendelea kujifua katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi kwa ajili ya duru la pili la ligi kuu ya Tanzania Bara.

Kwa mujibu wataarifa ndani ya ukurasa wa Azam FC ndani ya facebook inasema, "Maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi kuu yanaendelea, timu inafanya mazoezi kila siku kwenye uwanja wa Azam, Chamazi."

Azam FC walimaliza duru ya kwanza ikiwa nafasi ya tatu, huku kikosi kikiongezewa nguvu katika idara zote za ulinzi na ushambuliaji.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.