Sunday, January 1, 2012

Azam kuelekea Zanzibar leo

Posted By: kj - 8:04 AM

Share

& Comment


Kheri ya Mwaka mpya,

Leo kikosi cha Azam FC kinaenda visiwani Zanzibar teyari kwa mashindano ya Mapinduzi Cup ambayo yanatari kuanza hapo kesho january 2, huku Azam FC ikikwaana na Kikwajuni katika uwanja wa Amana.

Wakazi wazanzibar karibuni katika michezo ya Azam FC huweni namna gani timu za Bara wanavyo usaka mpira kila wanapo kutana na Azam FC katika michezo mbali mbali.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.