Thursday, October 11, 2012

AZAM WAENDA MORO MCHANA WA LEO

Posted By: azam fans - 10:55 PM

Share

& Comment

Jeshi la Azam FC limeondoka mchana wa leo kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo wa jumamosi wa ligi kuu ya vodacom dhidi ya Polisi Morogoro.

Azam FC inaenda kucheza mchezo wake wa 6 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kabla ya kwenda Mbeya kuwakabili Tanzania Prisons siku ya jumatano wiki ijayo.

Azam FC watakosa huduma ya beki Samih Hajji Nuhu aliyezawadiwa kadi nyekundu katika mchezo uliopita dhidi ya African lyon.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.