Aliyewahi kuwa kocha wa Azam FC na Zanzibar Heroes na kuipatia ubinwa wa kombe la mapinduzi Azam FC,Stewart Hall amerejeshawa katika kuliongoza benchi la ufundi la Azam FC baadas ya uongozi kusitisha mkataba na
Boris Bunjak. .
"
Azam
FC imeamua kuvunja mkataba na kocha Boris Bunjak na kumrejesha kazini
Stewart Hall, hii imetokana na Maombi na Maoni ya mashabiki pamoja na
wataalam wa mambo ya ufundi mbalimbali ambao walitoa maoni kuwa ni vema
tukamrejesha kocha Stewart Hall.," ilieleza taarifa katika ukurasa wa Azam FC ndani ya Facebook.
Boris Bunjakcalichukuwa mikoba ya Hall mara baada ya kwisha kwa mashindano ya kombe la kagame ambapo Azam FC alifungwa na Yanga katika mchezo wa Fainali na Yangaa, ambapo chini ya Boris BunjakAzam Fc imefanikiwa kucheza michezo nane ya ligi kuu bila kupoteza na kufungwa mchezo mmoja dhidi ya Simba SC.
0 Maoni:
Post a Comment