Tuesday, April 2, 2013

AZAM WAANZA KUIVUTIA KASI BARACK YC II

Posted By: azam fans - 1:51 PM

Share

& Comment

Wakati Barack YC II ikiwasili leo asubuhi, azam fc wameanza maandalizi ya mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Barack leo asubuhi, baada ya wachezaji kupata mapumziko ya siku 2 ya sikuku ya Pasaka.

Azam na Barack YC watakabiliana jumamosi ya april 6 saa kumi na nusu katika uwanja wa taifa jijiini Dar es ralaam.


--
MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer)
www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni-computer-solution_7934.html
[+255 657 184 421]

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.