
Pia klabu imerefusha mikataba ya wachezaji waliokuwa wakikaribia kumaliza mikataba yao. Wachezaji hao ni Said Morad, Erasto Nyoni, Dedier Kavumbagu, Khamis Mcha, Waziri Salum, Brison Raphael, Joseph Kimwaga, Mudathir Yahya na Farid Mussa.
Hadi sasa Klabu haijaingia mkataba na mchezaji yoyote toka nje...
KUTOKA UKURASA WA AZAM FC NDANI YA FACEBOOK
SIB 90
POPULAR
TAGS
0 Maoni:
Post a Comment