Nahodha wa Azam FC John Raphael Bocco ameiokoa Azam FC kuambulia kichapo toka kwa African Lyon katika mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa Azam complex usiku huu.
Katika mchezo huo ambapo Azam FC wamenaswa katika mtego wa kuotea mara 16 ambapo ndio mara nyingi zaidi katika michezo iliyochezwa leo siku ya kwanza ya ligi kuu ya vodacom.
Katika kipindi cha kwanza mpira muda mwingi ulichezwa eneo la kati huku kukiwa na nafasi chache zilizo tengenezwa kwa kila upande na kupelekea dakika 45 za kwanza kumalizka kwa sare ya bila kufungana.
Katika kipindi cha pili African lyon walikianza kwa kasi na katika dakika a 46 walifanikiwa kupata kona iliyopigwa na Mayanja Abduli na kutinga moja kwa moja kwenye nyavu za Azam FC.
Kuingia kwa goli hilo kuliongeza kasi kwa Azam FC huku African lyon wakionekana kupoteza muda kwa nyakati tofauti.
Katika dakika ya 90 John Bocco aliisawazishia Azam FC akimalizia pasi safdi ya Salum Abubakari na kupelekea mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1.
Sare hiyo ya leo inaendelea kuingia kwenye rikodi ya sare mfululizo Azam FC wanazopata pale wanapocheza michezo yao usiku katika uwanja wa Azam Complex.
Mpaka sasa Azam FC imeshacheza mechi 4 za ligi kuu ya vodacom usiku katika uwanja wa Azam Complex ambapo yote wameambulia sare.
Mchezo wa mwisho kwa Azam FC kucheza usiku katika uwanja wa Azam complex na kufanikiwa kupata matokeo ni dhidi ya Mtibwa sugar uliokuwa ni wakirafiki ambapo Azam FC walishinda kwa goli 5-1.
Karika uwanja wa Manungu Complex Mtibwa sugar wamekubali kichapo cha goli 1-0 toka kwa Ruvu shooting goli lililofungwa na Shaban Kisiga kwa mpira wa adhabu.
AZAM FC 1-1 AFRICAN LYON
SIMBA SC 3-1 NDANDA FC
MTIBWA SUGAR 0-1 RUVU SHOOTING
STAND UNITED 0-0 MBAO FC

MATOKEO YA LEO
MAJIMAJI 0-1 T.PRISONSAZAM FC 1-1 AFRICAN LYON
SIMBA SC 3-1 NDANDA FC
MTIBWA SUGAR 0-1 RUVU SHOOTING
STAND UNITED 0-0 MBAO FC
MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM
Rn | Timu | P | W | D | L | F | A | Gd | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | SIMBA SC | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 | 1 | 2 | 3 |
2 | Ruvu Shooting | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | 3 |
3 | T. PRISONS | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | 3 |
4 | African Lyon | 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 |
5 | Azam FC | 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 |
6 | Mbao FC | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
7 | STAND UNITED | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
8 | JKT RUVU | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
9 | KAGERA SUGAR | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
10 | MBEYA CITY | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
11 | MWADUI FC | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
12 | TOTO AFRICANS | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
13 | YANGA | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
14 | MAJIMAJI FC | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | -1 | 0 |
15 | MTIBWA SUGAR | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | -1 | 0 |
16 | NDANDA FC | 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 3 | -2 | 0 |
0 Maoni:
Post a Comment