Tuesday, June 28, 2011

Nafasi ya usemaji niya kujitolea

Posted By: azam fans - 10:32 PM

Share

& Comment

Viongozi wa Azam Fans Club inapenda kuwa weka sawa katika tangazo walilo lifikisha kwenye mtandao huu, ambalo linatangaza nafasi ya usemaji katika Azam Fans Club.

Mwenyekiti wa Azam Fans Club, Nelson Nsekela ameiambia azamfans.blogspot.com kuwa nafasi hiyo niya kujitolea na hivyo aina malipo yoyote kwa sasa.

Nelson aliongeza kuwa anayetaka nafasi hiyo ni lazima awe member wa klub hii na taratibu ya kuwa member kwa hivi sasa ni kutuma mesege yenye jina kamili la muhusika kwenye namba +255653123832 na hapo utakuwa umejumuishwa kwenye member wa mashabiki wa Azam FC.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.