Azam FC kesho watateremka saa tisa na nusu jioni katika uwanja wa Chamanzi 'Azam Stadium' kujipima ubavu na Ruvu Shooting.
Azam FC watacheza mchezo wao wapili wakujipima nguvu baada ya kuichabanga Villa Squad goli 5 kwa bila katika uwanja wa huo wa Chamanzi 'Azam stadium'.
Tuesday, July 19, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Maoni:
Post a Comment