Saturday, July 23, 2011

Coastal union yaifunda Azam FC

Posted By: azam fans - 10:01 PM

Share

& Comment

Kikosi kazi cha Azam FC hii leo kili teremka kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga kuwakabili wagosi wakaya Coastal union, katika mpambano wa kujipima ubavu. Katika mchezo huo ulio tawala ufundi kikosi cha Coastal Union ya Tanga kiliendeleza wimbi lake la ushindi katika michezo ya kirafiki kwa kuichapa Azam FC goli 2-0.

Azam FC wamepoteza mchezo wake wa kwanza wa kujipima nguvu hii leo na kupelekea kuwa somo kwa kikosi kazi cha Azam FC katika harakati za kuwania Ubingwa wa ligi kuu ya vodacom.

Katika mchezo huo Azam FC walimaliza wakiwa pungufu baada ya Luckson Kakolaki kupewa kadi nyekundu.

0 Maoni:

Post a Comment

Copyright © CHAMA LANGU NI AZAM FC™ is a registered trademark.

Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.