Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mrisho Khalfan Ngassa anatarajiwa kurejea nchini siku ya jumamosi akitokea nchini Marekani ambapo amefuzu majaribio yake katika klabu ya Seattle Sounders.
Katibu mkuu wa Azam FC Idrissa Nassoro amekiambia kituo cha Clouds FM kuwa Ngassa amefuzu majaribio yake na ata tuwa nchini jumamosi huku akitarajiwa kurejea Marekani mwakani mwezi wa pili kwa ajili ya kuvaa rasmi uzi wa Sounders.
Katika hatua nyingine mchezo wa kirafiki uliokuwa uchezwe julai 30 katika uwanja wa Taifa kati ya Azam FC na Yanga, hauto kuwepo tena.

0 Maoni:
Post a Comment