Uongozi wa Azam Fans Club inapenda kuwatangazia mashabiki wote wa Azam FC kuwepo kwa kikao hapo agosti 14 saa nane (8) mchana katika ukumbi utakao tangazwa hapo agosti 11.
Kikao hiki kitakacho fanyika hapo agosti 14 kitakuwa na agenda zifuatazo.
1. Kuanda event (tukio) la kuitambulisha klabu hii ya mashabiki wa Azam (Azam Fans Club).
2. Mchakato wa uundwaji wa katiba.
Kutateuliwa kamati ya kusimamia katiba.
3. Kuanda utaratibu wa ada ya uanachama, ulipaji na kiasi.
4. Kutengeza bank account ya klabu.
5. Kutengezwa muundo wa uongozi (structure of admin)
6. Kutengeneza kikundi cha ushangiliaji.
7. Namna ya kuwatunuku wachezaji walio vyanya vyema katika kipindi husika akiwa amevaa uzi wa Azam FC.
Vile vile tunaangalia uwezekano wa kuwepo kwa jezi mpya ndani ya ukumbi kwa ajili ya kuziuza kwa mashabiki. Kwa mujibu wa taarifa toka kwenye klabu ya azam fc jezi zitatoka agosti 20.
Taarifa ya ukumbi itatangazwa hapo agosti 11 kwani bado tunamalizia mchakato wa upatikanaji wa ukumbi.
Mwenyekiti wa Azam Fans Club
Nelson Nsekela

0 Maoni:
Post a Comment